Saturday, June 11, 2016

Nukuu mhimu za muhamed ally

Bondia Mkenya aliyemwangusha Muhammad Ali
Mohammed Abdalla, al maarufu kama Kent aliweka historia kama Mwafrika wa pekee aliyepigana katika maonesho maalum mwaka wa themanini jijini Nairobi. Alimwangusha bondia huyo ulingoni.
7 Juni 2016 Medianuai
Tanzania yavuma kwa miundombinu Afrika Mashariki
Siku za hivi karibuni Tanzania imenyakua miradi mikubwa ya miundombinu katika ukanda wa Mashariki, huku ikiwa dhahiri kwamba nguvu ya ushawishi wa kisiasa inaonekana kukua nchini Tanzania.
7 Juni 2016 Medianuai
Wanawake walio mashuhuri zaidi Afrika
Katika orodha ya Forbes ya wanawake 100 mashuhuri na wenye ushawishi zaidi duniani mwaka 2016, kulikuwa na watatu pekee kutoka Afrika. Ni kina nani hao?
7 Juni 2016 Medianuai
Salama Jabir, binti asiyecheza na maswali
Salama Jabir ni binti mdogo mdogo kwa umbo ila mahojiano yake katika kipindi chake maarufu cha Mkasi huwa na maswali ya kiuchokozi sana.
6 Juni 2016 Medianuai
Wawili wafariki maandamano ya upinzani Kenya
Takriban watu wawili wameripotiwa kufariki dunia katika maandamano ya upinzani katika mji wa Kisumu, magharibi mwa Kenya.
6 Juni 2016 Medianuai
Muhammad Ali alijiamini sana
Muhammad Ali alikuwa mtu wa kujigamba kupita kiasi, lakini alikuwa na kila sababu ya kufanya hivyo. Alikuwa na kipaji cha pekee kwenye ndondi.
4 Juni 2016 Medianuai
Msanii wa Rwanda aliyetunga nyimbo mafichoni
Olivier Nzaramba ni msanii wa nyimbo za Injili kutoka rwanda ambaye anapanga kuchomoa albamu yake mpya kwa lugha ya za Kiswahili, Kiingereza na Kinyarwanda.
3 Juni 2016 Medianuai
Mwanamume asimulia alivyonusurika mauti Tanga
Siku chache baada ya mauaji ya watu wanane mjini Tanga, kaskazini mwa Tanzania, maswali mengi bado hayana majibu sana kuhusu nani amehusika na shambulio hilo.
3 Juni 2016 Medianuai
Raia wa DR Congo mshindi wa tuzo ya Amnesty
Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Micheline Mwendike ni miongoni mwa wanaharakati kadha kutoka Afrika waliotuzwa na shirika la Amnesty International kwa juhudi zao katika kutetea haki za kibinadamu.

No comments:

Post a Comment