Sunday, June 12, 2016

Unajua alicho kizungumza diamond platnumz kuhusiana na suala la plate number

Msanii Diamond amesema licha ya kuweka gari yake namba maalumu (Private) imemfanya asisikie raha kutembea nayo, kwasababu kila mtu anajua kapita na hawezi kujiiba. Anashukuru hatadiriki tena kuiweka baada y Waziri wa Fedha kupendekeza bei mpya kwenye bajeti ya shilingi millioni 10 (kutoka shilingi milioni 5).

No comments:

Post a Comment